Teddy Kaegeles's Blog
IT'S A BEAUTIFUL WORLD OF FASHION, STYLES,EVENTS,BUSINESS AND ENTERTAINMENTS... FOR ADVERTISMENTS AND BUSINESS CALL MY HOTLINE: +255762200027 BB PIN: 293DCEF5 EMAIL:teddykaegele@yahoo.co.uk
Wednesday, 22 May 2013
Friday, 3 May 2013
CASUAL FRIDAY GREETINGS FROM BEN...........
Thursday, 2 May 2013
MARIAH CAREY AND NICK CANNON RENEW THEIR WEDDING VOWS IN DISNEY LAND: HAPPY 5TH ANNIVERSARY!
Media mogul Nick Cannon, 32, and R&B Diva Mariah Carey-Cannon, 43,
“exclusively invited ET’s Nancy O’Dell to celebrate the renewal of their
vows Tuesday on their 5th wedding anniversary at a lavish private
ceremony at Disneyland.” Mariah and Nick also celebrated the 2nd
birthdays of their twin toddlers, son Moroccan Scott and daughter
Monroe. The photo above is from the intimate celebration which took
place outside the Sleeping Beauty Castle.
YOU READY FOR THIS: AFRICA'S NEXT TOP MODEL BY OLUCHI
RIP Chris Kelly, member of famous 90's rap group, Kris Kross, dies at 34
Chris Kelly, a member of the famous 90's
rap group, Kris Kross, has died. He was 34 years old. Chris, also known
as Mac Daddy, was found unconscious in his Atlanta home yesterday
afternoon and was rushed to the hospital where he was pronounced dead. A
police spokeswoman said it appears it may have been a possible
drug overdose. May his soul rest in peace. Amen.
CHRIS KELLY ON THE LEFT OF BOTH PICS.... RIP!

PICK YOUR STYLE.........
You can rock this on a sunday to church.....
You can rock this on a Saturday..........
You can rock this on a Wednesday at work....
Visiting you somewhere on weekend...
Friday night clubbing....
Going somewhere on a hotty saturday?
Going to chill with friends... may be a brunch of something...
Visiting you somewhere on weekend...
Friday night clubbing....
Going somewhere on a hotty saturday?
LADY JAYDEE AFUNGUKA NA KUSEMA HAYA: WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA
Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesi
Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa mkubwa.
Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa kifedha , ki umri na hata wenye ukubwa wa connection katika hii industry ya muziki. Wanaomiliki chombo cha habari.
Nasimama na
kusema kuwa sitokata tamaa, kwani lengo lao kubwa ni kuona na
kuhakikisha nimeanguka kabisa na sipo katika ramani ya muziki.
Watu hao ambao vita yao ilikuwa baridi miaka kumi iliopita, sasa inazidi kuwa moto baada ya kutambua kuwa mimi ni mtu mwenye maamuzi yangu na misimamo yangu bila kuburuzwa.
Wanapita kila mahali kuhakikisha kila mrija unaoniingizia chochote unakatika, na hiyo ni kutaka kuuthibitishia umma wa Tanzania kuwa hakuna msanii anaeweza ku survive bila wao.
Mimi ni msanii tofauti na hao mnaofikiria. Nadhani mnafahamu tangu niachane na Tuzo zenu mnazo influence nani apate nani asipate, na tangu niachane na Fiesta nilipolipwa laki 8 mara ya mwisho na kuamua kuunda Band ili nijiajiri na kupata shows zangu mwenyewe, ikafanikiwa sana jambo ambalo limewauma na kuamua kufanya kitu cha kuiangusha Band yangu.
Nita survive kwa njia zozote MUNGU alizonipangia. Wakati bado wote tunapumua na kwakuwa watu hao hawanipendi kabisa, Naamini fika hawataweza kunipenda hata siku nitakapokuwa nimekufa.
Na huu ndio wosia wangu kwa watu hao. Natambua wanaweza kutumia redio yao kutangaza sana kifo changu na kusema marehemu alikuwa mtu mzuri na pengine kupiga nyimbo zangu kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Ila naomba nitamke hivi, siku nikifa CLOUDS FM isipige nyimbo zangu, wala isiongelee lolote kuhusiana na kifo changu.
Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga wasihudhurie msiba wangu, na mkiwaona muwapige wame Enyi mtakaokuwa hai baada yangu.
Kama wamenifitini, na hawajanipenda nikiwa hai Hakuna haja ya kujifanya kunipenda nikiwa marehemu. Sina haja wanipende pia kwakuwa mimi sio ndugu yao, Ila ubaya wanaoundeleza mioyoni mwao wanaujua na nina hakika nafsi zao zinawasuta pia.
Niliamua kujiepusha nao miaka mingi na kufanya biashara zangu, nimekaa kimya watu wanafikiri nabebwa lakini sijabebwa chochote sikutaka ugomvi haya mambo yalianza baada ya Album yangu ya pili ya Binti mwaka 2003 nilipojitoa Smooth Vibes chini ya Ruge. Nilivumilia fitna nikiamini ipo siku yatakwisha lakini naona moto ndio unazidi kuwaka.
Na hii ni kwasababu wanaogopa msanii akiwa mkubwa watashindwa kumuamrisha, Hamuwezi kumiliki dunia.. Kama mnasema mlinibeba mbona hamkuwabeba dada zenu wa tumbo moja waimbe ili hela irudi nyumbani??. kama kweli wewe Kusaga unajua kubeba basi beba jiwe liimbe liwe star..
Kwa roho zenu mbaya mnaweza kumbeba mpita njia nyie??. Talent haibebwi, hujibeba kama mnabisha si mna watoto wabebeni basi wawe kama kina Diamond ndio nitaamini kweli nyie mnaweza kubeba watu.
Mnawatishia wasanii kuwa yoyote atakaefanya nyimbo na mimi hazitapigwa, vikao vinne mmeshakaa kunijadili. Mnadhani je! nitapungukiwa nini endapo wasanii wengine wakiacha kufanya kazi na mimi?? nyimbo hazitakuwa nzuri. Basi sawa ngoja tuone MUNGU ni nani, Binadamu nani?? Kwahiyo mtaamrisha watu pia wasikae na mimi??
Ilikuwa niseme majina matatu huyo mmoja nimemsamehe baada ya kugundua sio hiyari yake ila yuko under influence ya hawa jamaa wawili.
Kila siku mnamsingizia Ruge peke yake Kusaga ni mfitini kuliko hata huyo Ruge, watu hamjui tu. Mtu hela zote hizo bado shillingi mbili ya Jide inakuuma?? Roho gani hiyo??
Naishia hapo na sitabatilisha kauli yangu
JIDE
Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa kifedha , ki umri na hata wenye ukubwa wa connection katika hii industry ya muziki. Wanaomiliki chombo cha habari.
Nasimama na
kusema kuwa sitokata tamaa, kwani lengo lao kubwa ni kuona na
kuhakikisha nimeanguka kabisa na sipo katika ramani ya muziki.Watu hao ambao vita yao ilikuwa baridi miaka kumi iliopita, sasa inazidi kuwa moto baada ya kutambua kuwa mimi ni mtu mwenye maamuzi yangu na misimamo yangu bila kuburuzwa.
Wanapita kila mahali kuhakikisha kila mrija unaoniingizia chochote unakatika, na hiyo ni kutaka kuuthibitishia umma wa Tanzania kuwa hakuna msanii anaeweza ku survive bila wao.
Mimi ni msanii tofauti na hao mnaofikiria. Nadhani mnafahamu tangu niachane na Tuzo zenu mnazo influence nani apate nani asipate, na tangu niachane na Fiesta nilipolipwa laki 8 mara ya mwisho na kuamua kuunda Band ili nijiajiri na kupata shows zangu mwenyewe, ikafanikiwa sana jambo ambalo limewauma na kuamua kufanya kitu cha kuiangusha Band yangu.
Nita survive kwa njia zozote MUNGU alizonipangia. Wakati bado wote tunapumua na kwakuwa watu hao hawanipendi kabisa, Naamini fika hawataweza kunipenda hata siku nitakapokuwa nimekufa.
Na huu ndio wosia wangu kwa watu hao. Natambua wanaweza kutumia redio yao kutangaza sana kifo changu na kusema marehemu alikuwa mtu mzuri na pengine kupiga nyimbo zangu kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Ila naomba nitamke hivi, siku nikifa CLOUDS FM isipige nyimbo zangu, wala isiongelee lolote kuhusiana na kifo changu.
Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga wasihudhurie msiba wangu, na mkiwaona muwapige wame Enyi mtakaokuwa hai baada yangu.
Kama wamenifitini, na hawajanipenda nikiwa hai Hakuna haja ya kujifanya kunipenda nikiwa marehemu. Sina haja wanipende pia kwakuwa mimi sio ndugu yao, Ila ubaya wanaoundeleza mioyoni mwao wanaujua na nina hakika nafsi zao zinawasuta pia.
Niliamua kujiepusha nao miaka mingi na kufanya biashara zangu, nimekaa kimya watu wanafikiri nabebwa lakini sijabebwa chochote sikutaka ugomvi haya mambo yalianza baada ya Album yangu ya pili ya Binti mwaka 2003 nilipojitoa Smooth Vibes chini ya Ruge. Nilivumilia fitna nikiamini ipo siku yatakwisha lakini naona moto ndio unazidi kuwaka.
Na hii ni kwasababu wanaogopa msanii akiwa mkubwa watashindwa kumuamrisha, Hamuwezi kumiliki dunia.. Kama mnasema mlinibeba mbona hamkuwabeba dada zenu wa tumbo moja waimbe ili hela irudi nyumbani??. kama kweli wewe Kusaga unajua kubeba basi beba jiwe liimbe liwe star..
Kwa roho zenu mbaya mnaweza kumbeba mpita njia nyie??. Talent haibebwi, hujibeba kama mnabisha si mna watoto wabebeni basi wawe kama kina Diamond ndio nitaamini kweli nyie mnaweza kubeba watu.
Mnawatishia wasanii kuwa yoyote atakaefanya nyimbo na mimi hazitapigwa, vikao vinne mmeshakaa kunijadili. Mnadhani je! nitapungukiwa nini endapo wasanii wengine wakiacha kufanya kazi na mimi?? nyimbo hazitakuwa nzuri. Basi sawa ngoja tuone MUNGU ni nani, Binadamu nani?? Kwahiyo mtaamrisha watu pia wasikae na mimi??
Ilikuwa niseme majina matatu huyo mmoja nimemsamehe baada ya kugundua sio hiyari yake ila yuko under influence ya hawa jamaa wawili.
Kila siku mnamsingizia Ruge peke yake Kusaga ni mfitini kuliko hata huyo Ruge, watu hamjui tu. Mtu hela zote hizo bado shillingi mbili ya Jide inakuuma?? Roho gani hiyo??
Naishia hapo na sitabatilisha kauli yangu
JIDE
Shantalle Herbs Oil ni mafuta ya maji yenye mchanganyiko wa mbegu za mmea wa asili wenye virutubishovya hali ya juu, huzuia kukatika nywele na kuifanya ngozi yako isiwe kavu ,huotesha kwa muda mfupi na kujaza nywele,na kurudi katika khali ya kawaida wale wenye matatizo ya kichwa pia husaidia unaweza ukafanyia stiming na masaji ya kichwa ambayo inaweza kufungua mishipa ya fahamu . Tunapatikana Tabata Relini nyuma ya chuo cha walimu St. Marry's, kinondoni Bantu Saloon, Congo cosmetic Kinondoni,studio. Magomeni kondoa JJ saloon. kwa maelezo zaidi Tupigie 0766 291 947, 0652 048 512
ONLY TSHS.10,000/= PER BOTTLE
INAJAZA NYWELE..............
BEI NI SHILINGI ELFU KUMI TUU..... TSHS.10,000/= KWA CHUPA MOJA
PIGA HIZI NAMBA UTALETEWA HAYA MAFUTA POPOTE ULIPO....+255766291 947,+255 652 048 512
INAJAZA NYWELE..............
BEI NI SHILINGI ELFU KUMI TUU..... TSHS.10,000/= KWA CHUPA MOJA
PIGA HIZI NAMBA UTALETEWA HAYA MAFUTA POPOTE ULIPO....+255766291 947,
Tuesday, 30 April 2013
DIAMOND PLATINUMZ ON THE SPORAH SHOW IN LONDON!
Lovely photo..........
Diamond and his dancers talking to MISS SPORAH...
Diamond being pumpered.........
DIAMOND AND DJ RULE.............
Subscribe to:
Posts (Atom)